ZA UKWELI SANA

BREAKING NEWS!! MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA

Baaada ya kusubiri kwa muda mrefu sana hatimye sasa baraza la mitihani Tanzania limeamua kutoa link ambazo unaweza kuona Matokeo ya kidato cha nne 2014, katika matokeo hayo, shule nyingi kongwe za serikali zimeendelea kufanya vibaya ukilinganisha na shule za binafsi, Jionee MATOKEO HAPA, au kama simu yako haiweza kufungua PDF, YADOWNLOAD HAPA, pia unaweza kubofya hapa na kuweka Namba ya Simu, Namba ya mtihani then Utatumiwa Matokeo yako BOFYA HAPA KUJISAJILI

0 Response to "BREAKING NEWS!! MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA"

Post a Comment