Kweli
maji ya shingo, Lady J dee aamua kufunguka mazito kuhusu ndoa yake,
aeleza wazi kililichomfanya aondoke kwa Gadner, akichati na fans wake
kwenye mtandao wa instagram leo alitoa nafasi ya maswali na alifunguka
vibaya.
SWALI : Tunasikia umeachana na mumeo, kweli au sio kweli?
JIBU : Hatujaachana bali
nimemuacha.
SWALI : Kwa nini umemuacha? >>>SOMA HAPA ZAIDI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Response to "JAY DEE AFUNGUKA MAZITOO. JIONEE HAPA"
Post a Comment