ZA UKWELI SANA

SIJAACHANA NA GADNER....ILA NIMEMUACHA!!

Kweli maji ya shingo, Lady J dee aamua kufunguka mazito kuhusu ndoa yake, aeleza wazi kililichomfanya aondoke kwa Gadner, akichati na fans wake kwenye mtandao wa instagram leo alitoa nafasi ya maswali na alifunguka vibaya.

SWALI : Tunasikia umeachana na mumeo, kweli au sio kweli?
JIBU : Hatujaachana bali nimemuacha.
SWALI : Kwa nini umemuacha?
JIBU : Sikuweza kuishi na mwanaume anayenidhalilisha, anawashika makalio na kuwatongoza wanawake mbele yangu, anatembea na wafanyakazi wa restaurant yangu na kunipiga. N a mara nyingine kuwapa wanawake magari yangu na kuyagongesha wakati nikiwa safarini.

0 Response to "SIJAACHANA NA GADNER....ILA NIMEMUACHA!!"

Post a Comment